• HABARI MPYA

    Tuesday, January 07, 2014

    RONALDO AFIKISHA MABAO 400 USIKU HUU AKIIFUNGIA MAWILI REAL IKIUA 3-0 LA LIGA

    MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo usiku huu amefunga bao la 400 katika jumla ya mechi 652 alizocheza, wakati Real Madrid ikiifunga Celta Vigo 3-0 na kuwakaribia vinara wa La Liga, Barcelona kileleni.
    Ronaldo alifunga mabao yake katika dakika za 20 na 90 akimalizia krosi za Dani Carvajal na baadaye Gareth Bale, aliyetokea benchi kipindi cha pili, wakati bao lingine la Real limefungwa na Benzema dakika ya 67.
    Mabao yake hayo mawili yanamfanya msimu huu atimize jumla ya mabao 29 katika mechi 22 alizocheza, ukiwa ni mwanzo mzuri mwaka huu 2014, baada ya mwaka 2013 kufunga jumla ya mabao 69.
    Tabasamu la raha: Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga bao lake la 400
    What a pair: Gareth Bale, who returned from a calf injury, congratulates Ronaldo on his milestone
    Wawili ghali: Gareth Bale akimpongeza Ronaldo baada ya kufunga bao la 400
    Goal hero: Cristiano Ronaldo celebrates after doubling Real Madrid's lead against Celta Vigo on Monday night
    Mkali wa mabao: Cristiano Ronaldo akishangilia bao la 400
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFIKISHA MABAO 400 USIKU HUU AKIIFUNGIA MAWILI REAL IKIUA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top