• HABARI MPYA

    Sunday, December 08, 2013

    DIAMOND, CHEGGE NA MWASITI WALIVYONOGESHA USHINDI WA STARS DHIDI YA UGANDA CHALLENGE MOMBASA USIKU HUU

    Msanii nyota wa Tanzania, Diamond Plutinums akiimba mbele ya umati wa mashabiki katika ufukwe wa hoteli ya Big Tree Beach Resort mjini Mombasa usiku huu katika onyesho maalum la wasanii wa kundi la Kigoma All Stars. Shoo hiyo ilifanyika saa chache baada ya timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kuitoa Uganda katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Uwanja wa Manispaa, Mombasa kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90.    






    Chegge wa TMK naye akifanya vitu vyake Mombasa



    Mashabiki wa Tanzania walikuwepo ukumbini

    Queen Darleen akiimba


    Abdul Kiba alikuwepo pia

    Maunda Zorro naye

    Mwasiti pia

    Hata Peter Msechu

    Binti akiikakitikia kamba wakati Chegge anaimba 

    Waandishi wa Habari za soka kutoka Tanzania, Somoe Ng'tu kulia na Zaituni Kibwana walikuwepo 

    Mashabiki kwa raha zao
    Recho pia alifanya vitu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIAMOND, CHEGGE NA MWASITI WALIVYONOGESHA USHINDI WA STARS DHIDI YA UGANDA CHALLENGE MOMBASA USIKU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top