![]() |
| Roger Federer wa Uswisi akiangalia kama mtu ambaye haamini macho yake baada ya kufungwa na Andy Roddick wa Marekani Madison Square Garden, New York City jana. |
![]() |
Nyota wa tenisi, Mrusi Maria Sharapova akijibu mapigo ya
Caroline Wozniacki wa Denmark katika mechi iliyopigwa Madison Square Garden, New
York City jana. Maria alishinda.
|




.png)
0 comments:
Post a Comment