![]() |
| Kiungo Mspanyola wa Chelsea, Juan Mata akikosa kwenye mechi hiyo, Uwanja wa St Andrews mjini Birmingham. |
Mabao ya Juan Mata na Raul Meireles skipindi cha pili ndiyo yanayoiwezesha klabu hiyo ya Ligi Kuu kwenda kukutana na timu nyingine ya Daraja la Kwanza,, Leicester.
Roberto Di Matteo, ambaye amerithi mikoba ya aliyekuwa bosi wake, Villas-Boas’ aliwapiga chini kwenye kikosi cha kwanza Frank Lampard, Didier Drogba, Michael Essien na Daniel Sturridge kwenye mechi hiyo.
Tottenham inaikaribisha timu ya Daraja la Pili, Stevenage katika mechi nyingine ya marudio leo.



.png)
0 comments:
Post a Comment