• HABARI MPYA

  Wednesday, January 05, 2022

  REFA KOMBA MAZOEZI CAMEROON KUJIANDAA NA AFCON


  REFA wa Tanzania, Frank Komba akiwa kwenye mazoezi viwanja vya Japoma nchini Cameroon kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Komba ni miongoni mwa marefa walioteuliwa na CAF kuchezesha mashindano hayo yatakayoanza Januari 9, 2022.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA KOMBA MAZOEZI CAMEROON KUJIANDAA NA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top