• HABARI MPYA

  Wednesday, January 05, 2022

  SIMBA YAANZA VYEMA MAPINDUZI, YASHINDA 2-0


  MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wameanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Selem View katika mchezo wa Kundi C jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Mabao ya Simba yamefungwa na winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 25 na kiungo Mzambia, Rally Bwalya dakika ya 53.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAANZA VYEMA MAPINDUZI, YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top