• HABARI MPYA

  Wednesday, January 05, 2022

  NGUSHI MCHEZAJI MPYA WA NNE YANGA DIRISHA DOGO


  KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Crispín Ngushi kutoka Mbeya Kwanza kuwa mchezaji wake mpya wa nne katika dirisha hili dogo linalotarajiwa kufungwa wiki ijayo.
  Ngushi anaungana na wachezaji wengine watatu, kipa Abdultwalib Mshery kutoka Mtibwa Sugar na viungo Dennis Nkane kutoka Biashara United na Salum Abubakar kutoka Azam FC kufanya idadi ya wachezaji wanne wapya hadi sasa.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGUSHI MCHEZAJI MPYA WA NNE YANGA DIRISHA DOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top