• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  SIMON MSUVA AJIUNGA NA WYDAD CASABLANCA YA MOROCCO KWA MKATABA WA MIAKA MINNE


  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva mwenye umri wa miaka 27 amekabidhiwa jezi namba 11 baada ya kusaini mkataba wa miaka minne kujiunga Wydad Athletic Club ya Casablanca, kufuatia miaka minne ya kuchezea Difaa Hassan El-Jadidi, zote za Morocco aliyoijiunga nayo mwaka 2017 akitokea Yanga SC ya nyumbani, Dar es Salaam

  WASIFU WAKE
  JINA KAMILISimon Happygod Msuva
  KUZALIWAOktobs 2, 1993 (Miaka 27)
  ALIPOZALIWADar es SalaamTanzania
  UREFU1.70 m (Futi 5 inchi 7)
  NAFASI ANAYOCHEZAWinga /Mshambuliaji wa pili
  KLABU YAKE
  KLABU YA SASA
  Wydada Athletic 
  JEZI NAMBA11
  KLABU ZA AWALI HADI SASA
  MwakaTimuMechi(Mabao)
  2010-2011Azam35(11)
  2011-2012Moro United37(15)
  2012–2017Yanga SC94(43)
  2017–2020Difaâ El Jadida90(43)
  2020-Wydad Casablanca0(0)
  TIMU YA TAIFA
  Tangu 2012:TanzaniaMechi 61(Mabao 13)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMON MSUVA AJIUNGA NA WYDAD CASABLANCA YA MOROCCO KWA MKATABA WA MIAKA MINNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top