• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  KOCHA MPYA WA AZAM FC, LWANDAMINA ALIPOWATAZAMA WACHEZAJI KWA MARA YA KWANZA JANA MWANZA

  Kocha Mkuu mpya wa Azam FC, Mzambia George Lwandamina 'Chicken', akimuelekeza jambo Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin 'Popat' wakati wa mazoezi jana jioni kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Gwambina FC kesho Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA WA AZAM FC, LWANDAMINA ALIPOWATAZAMA WACHEZAJI KWA MARA YA KWANZA JANA MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top