• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 03, 2020

  RONALDO AMPIKU MESSI KWA MABAO JUVENTUS IKING'ARA ULAYA


  Cristiano Ronaldo akishangilia na Alvaro Morata baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 57 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Dynamo Kyiv kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa usiku wa jana Uwanja wa Allianz, Torino hilo likiwa ni bao lake la 750 tangu aanze soka, akimzidi mabao 38 hasimu wake mkubwa, Lionel Messi. Mabao mengine ya Juventus yalifungwa na Federico Chiesa dakika ya 21 na Morata dakika ya 66 na kwa matokeo hayo wanakwenda 16 Bora pamoja na vinara wa kundi lao, Barcelona
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AMPIKU MESSI KWA MABAO JUVENTUS IKING'ARA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top