• HABARI MPYA

  Thursday, December 03, 2020

  BILA MESSI BARCELONA YASHINDA 3-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA


  MABAO ya Antoine Griezmann dakika ya 14, Martin Braithwaite dakika ya 20 na Ousmane Dembele dakika ya 28 kwa penalti jana yaliipa Barcelona ushindi wa 3-0 dhidi ya Ferencvaros kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Puskas Arena, Budapest, Hungary. Barcelona ambayo ilicheza bila Nahodha wake, Lionel Messi imeshatinga 16 Bora kwa pamoja na Juventus
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILA MESSI BARCELONA YASHINDA 3-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top