• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 03, 2020

  NEYMAR APIGA MBILI PSG YAITANDIKA MAN UNITED 3-1 OLD TRAFFORD


  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Paris Saint-Germain mabao mawili dakika ya sita na 90 ikiwalza wenyeji,  Manchester United 3-1 katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Bao lingine la PSG iliyomaliza pungufu baada ya Fred kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 70 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano, lilifungwa na Marquinhos dakika ya 69, wakati la Manchester United lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 32 na sasa wote watahitaji kushinda mechi za mwisho kusonga mbele
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR APIGA MBILI PSG YAITANDIKA MAN UNITED 3-1 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top