• HABARI MPYA

    Thursday, December 03, 2020

    GIROUD APIGA ZOTE NNE CHELSEA YAICHAPA SEVILLA 4-0 HISPANIA


    Mshambuliaji Mfaransa Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia mabao manne Chelsea dakika za nane, 54, 74 na la penalti dakika ya 83 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Sevilla kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ramón Sanchez Pizjuan na kwa ushindi huo, The Blues wanajihakikishia kutinga 16 Bora
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GIROUD APIGA ZOTE NNE CHELSEA YAICHAPA SEVILLA 4-0 HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top