• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 03, 2020

  KIFAA KIPYA YANGA SC, SADIO NTIBANZOKIZA KILIVYOPOKEWA JANA USIKU UWANJA WA NDEGE

  MCHEZAJI mpya wa Yanga SC, Saido Ntibanzokiza amewasili usiku wa jana na kupata mapokezi mazuri Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akitokea kwao, Burundi.  Baada ya kuifungia Burundi bao pekee ikiwalaza wenyeji, Tanzania 1-0 Oktoba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa- Yanga ikamsainisha Ntibanzokiza kwa mkataba wa miaka miwili, akiwa ingizo jipya la kwanza majira ya baridi, au dirisha dogo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIFAA KIPYA YANGA SC, SADIO NTIBANZOKIZA KILIVYOPOKEWA JANA USIKU UWANJA WA NDEGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top