• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  JUVENTUS YATOKEA NYUMA NA KUWACHAPA TORINO 2-1 SERIE A


  TIMU ya Juventus jana imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa 2-1 Uwanja wa Allianz Jijini Torino.
  Beki Mcameroon Nicolas N'Koulou alianza kuwafungia Torino dakika ya 19, kabla ya kiungo Mmarekani Weston McKennie kuisawazishia Juve dakika ya 77 na beki mkongwe wa Itali, Leonardo Bonucci kufunga la ushindi dakika ya 89 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JUVENTUS YATOKEA NYUMA NA KUWACHAPA TORINO 2-1 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top