• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 02, 2020

  BAYERN MUNICH YALAZIMISHA SARE 1-1 NA ATLETICO MADRID


  Mtokea benchi Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 86 katika sare ya 1-1 na Atletico Madrid iliyotangulia kwa bao la Joao Felix dakika ya 26 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid. Bayern Munich ambayo tayari imeshafuzu 16 Bora inafikisha pointi 13, wakati Atletico Madrid inafikisha pointi 6, mbili zaidi ya Salzburg, wakati Lokomotiv Moscow inashika mkia na pointi zake tatu
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YALAZIMISHA SARE 1-1 NA ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top