• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 02, 2020

  REAL MADRID YACHAPWA 2-0 NA SHAKHTAR DONETSK


  Mabao ya Dentinho dakika ya 57 na Manor Solomon dakika ya 82 jana yaliipa Shakhtar Donetsk ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kyiv. Kwa matokeo hayo, Shakhtar Donetsk inapanda nafasi ya tatu ikifikisha pointi saba sawa na Real Madrid inayoangukia nafasi ya tatu, wakizidiwa pointi moja na Borussia Monchengladbach inayoongoza, wakati Inter Milan inashika mkia kwa pointi zake tano
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YACHAPWA 2-0 NA SHAKHTAR DONETSK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top