• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 02, 2020

  CURTIS JONES AIPELEKA LIVERPOOL 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA


  BAO pekee la Curtis Jones dakika ya 58 jana lilitosha kuipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza Kundi B huku pia ikifuzu 16 Bora kuelekea mechi za mwisho, wakati Ajax sasa ni ya tatu kwa pointi zake saba, ikizidwa moja na Atalanta wanaopanda nafasi ya pili huku Midtjylland ikiwa inashika mkia na pointi yake moja
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CURTIS JONES AIPELEKA LIVERPOOL 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top