• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 02, 2019

  MESSI APIA BAO PEKEE KUIREJESHA BARCELONA KILELENI LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 86 akimalizia pasi ya Luis Suarez ikiwalaza wenyeji, Atletico Madrid 1-0 Uwanja wa Wanda Metropolitano. Kwa ushindi huo, Barce imerejea kileleni mwa La Liga ikiizidi Real Madrid bao moja baada ya kufungana kwa pointi, 31 kila timu baada ya zote kucheza mechi 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI APIA BAO PEKEE KUIREJESHA BARCELONA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top