• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 06, 2019

  ARSENAL WAPIGWA 2-1 NA BRIGHTON & HOVE ALBION EMIRATES

  Wachezaji wa Arsenal wakirejea katikati kinyonge baada ya kuruhusu bao wakichapwa 2-1 na Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London. Mabao ya Brighton yalifungwa na Adam Webster dakika ya 36 na Neal Maupay dakika ya 80, wakati la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 50 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAPIGWA 2-1 NA BRIGHTON & HOVE ALBION EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top