• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 17, 2019

  MESSI AFUNGA, AKOSA PENALTI BARCELONA YASHINDA 1-0 LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 43 kufuatia Gerard Pique kuchezewa rafu katika ushindi wa 1-0 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga jana usiku wa jana Uwanja wa Camo Nou. Messi alikosa penalti nyingine zikiwa zimesalia dakika sita na sasa Barcelona inaizidi kwa pointi saba Atletico Madrid kileleni mwa La Liga 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA, AKOSA PENALTI BARCELONA YASHINDA 1-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top