Henrikh Mkhitaryan akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 17 kufuatia Alexandre Lacazette kufunga la kwanza dakika ya sita The Gunners ikiilaza 2-0 Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates mjini London. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 27 ikirejea nafasi ya nne kwa kuizidi pointi moja Manchester United ambayo leo imelazimishwa sare ya bila kufungana na Liverpool Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment