Refa Guillermo Cuadra akimuonyesha kadi nyekundu Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos dakika ya 90 kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano katika mchezo wa La Liga dhidi ya Girona leo Uwanja w Bernabeu. Girona wameshinda 2-1, mabao yao yakifungwa na Cristhian Stuani kwa penalti dakika ya 65 baada ya Ramos kunawa mpira na Portu dakika ya 75, wakati la Real Madrid limefungwa na Casemiro dakika ya 25. Real Madrid inayobaki na pointi zake 45, sasa inazidiwa pointi 10 na Barcelona wanaongoza La Liga na pointi mbili na Atletico Madird wanaofuatia baada ya wote kucheza mechi 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment