• HABARI MPYA

  Sunday, February 17, 2019

  LUNYAMILA ALIVYOREJEA KUTOKA UJERUMANI NA ‘KUWAUA’ SIMBA 1996

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Mathias Mulumba katika mchezo wa Kombe La Hedex Juni 30, mwaka 1996 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Yanga ilishinda 2-0, mabao ya Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ na Lunyamila aliyekuwa anacheza mechi hiyo akitokea Ujerumani ambako alikwenda kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUNYAMILA ALIVYOREJEA KUTOKA UJERUMANI NA ‘KUWAUA’ SIMBA 1996 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top