• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 27, 2019

  DI MARIA APIGA MBILI PSG IKIICHAPA 3-0 DIJON LIGUE 1

  Muargentina, Angel Di Maria akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Paris Saint-Germain FC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Dijon katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris.
  Di Maria mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Manchester United alifunga mabao yake dakika ya nane na 28, wakati bao lingine la PSG lilifungwa na Thomas Meunier dakika ya 76 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DI MARIA APIGA MBILI PSG IKIICHAPA 3-0 DIJON LIGUE 1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top