• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 28, 2019

  SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA 5-0 WATFORD

  Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya tisa na 20 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yalifungwa na mshambuliaji Divock Origi dakika ya 66 na Virgil van Dijk mawili pia dakika za 79 na 82 na kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 69 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA 5-0 WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top