Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 43 kabla ya Gareth Bale kufunga la pili dakika ya 78, yote kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Levante ambayo bao lake lilifungwa na Roger Marti dakika ya 60 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 48 ikiendelea kushika nafasi ya tatu, nyuma ya Atletico Madrid yenye pointi 50 na Barcelona pointi 57 baada ya wote kucheza mechi 25 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FG partners WHO, CSOs to end unsafe food cases in Nigeria
-
The federal government has partnered with WHO and CSOs to implement a
comprehensive strategy to eradicate cases of unsafe food in Nigeria.
The post FG pa...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment