Mshambuliaji Gareth Bale akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la tatu dakika ya 74 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Atletico Madrid Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kufuatia kutokea benchi dakika ya 57 kuchukua nafasi ya Vinicius Junior, hilo likiwa bao lake la 100 tangu ajiunge na klabu hiyo. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Casemiro dakika ya 16 na Sergio Ramos dakika ya 42 kwa penalti wakati la Atletico Madrid limefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 25 katika mchezo ambao wenyeji walimaliza pungufu baada ya kiungo wao, Thomas Partey kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 45 katika mechi ya 23 na kupanda hadi nafasi ya pili, ikiizidi kwa pointi moja Atletico Madrid na ikizidiwa kwa pointi tano na vinara, Barcelona ambao pia wamecheza mechi 22 na watamenyana na Athletic Club PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Burnley vs Manchester City - Premier League LIVE: Latest score and updates
as Erling Haaland opens the scoring just FIVE minutes into Turf Moor clash
as Pep Guardiola's side look to leapfrog Arsenal in title race
-
Follow Daily Mail Sport's live blog for the latest score, team news and
updates as Burnley host Manchester City at Turf Moor.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment