• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 21, 2019

  UNADHANI SARRI ALIKUWA ANAZUNGUMZA NINI HAPA NA HIGUAIN?

  Kocha aliyekalia kuti kavu Chelsea, Maurizio Sarri akizungumza na mshambuliaji Gonzalo Higuain wakati wakielekea mazoezini jana kuelekea mchezo wa leo wa UEFA Europa League dhidi ya Malmo FF Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UNADHANI SARRI ALIKUWA ANAZUNGUMZA NINI HAPA NA HIGUAIN? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top