• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 24, 2019

  EUBANK JR AMSHINDA KWA POINTI DEGALE NA KUTWAA TAJI LA IBO

  Refa Michael Alexander (kulia) akimzuia bondia Chris Eubank Jnr asiendelee kumpiga mpinzani wake, James DeGale usiku wa jana katika pambano la raundi 12 ukumbi wa London's O2 nchini Uingereza. Mtoto wa Eubank alishinda kwa pointi za majaji wote (114-112, 115-112 na 117-109 ) na kutwaa ubingwa wa IBO uzito wa Super-Middle uliokuwa unashikiliwa na DeGale 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: EUBANK JR AMSHINDA KWA POINTI DEGALE NA KUTWAA TAJI LA IBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top