• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 28, 2019

  AGUERO AFUNGA KWA PENALTI MAN CITY YAICHAPA 1-0 WEST HAM

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City kwa penalti dakika ya 59 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United usiku wa jana Uwanja wa Etihad na kwa matokeo hayo mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 68 katika mechi ya 28 wakiendelea kuzidiwa pointi moja na vinara Liverpool 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA KWA PENALTI MAN CITY YAICHAPA 1-0 WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top