Winga Mjerumani, Leroy Sane akipongezwa na wachezaji wenzake, David Silva na Phil Foden baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 51 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Newport County kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Rodney Parade mjini Newport. Mabao mengine ya Manchester City yamefungwa na Foden mawili dakika ya 75 na 89 na Riyad Mahrez dakika ya 90 na ushei, wakati la Newport limefungwa na Padraig Amond dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Over 18,000 Toy Story toys donated to children’s hospitals following fifth
film’s release
-
Disney converted hospital spaces into immersive screening events for
patients and their families
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment