• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 19, 2019

  POGBA ASETI, AFUNGA BAO MAN UNITED YAICHAPA CHELSEA 2-0

  Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 45 akimalizia pasi ya Marcus Rashford kufuatia kumsetia Ander Herrera kufunga bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la FA England na kwa matokeo hayo Mashetani Wekundu wanatinga Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POGBA ASETI, AFUNGA BAO MAN UNITED YAICHAPA CHELSEA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top