• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 24, 2019

  MAN UNITED YATOKA SARE 0-0 NA LIVERPOOL LEO OLD TRAFFORD

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Liverpool Sadio Mane na Virgil van Dijk katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester timu hizo zikitoak sare ya bila kufungana. Liverpool inafikisha pointi 66 katika mechi ya 27 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi moja tu sasa zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City, wakati United inafikisha pointi 52 baada ya kucheza mechi 27 ikishuka kwa nafasi moja hadi ya tano 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATOKA SARE 0-0 NA LIVERPOOL LEO OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top