• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 28, 2019

  LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1

  Mshambuliaji Romelu Lukaku akifurahia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 33 na 52 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park. Bao lingine lilifungwa na Ashley Young dakika ya 83 huku la Palace likifungwa na Joel Ward dakika ya 66 na kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 55 ikiendelea kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu nyuma ya Arsenal yenye pointi 56 baada ya wote kucheza mechi 28 na mbele ya Chelsea yenye pointi 53 za mechi 25 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top