• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 21, 2019

  MANCHESTER CITY YASHINDA 3-2 UJERUMANI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 90 ikiilaza 3-2 Schalke 04 3-2 katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa VELTINS-Arena mjini Gelsenkirchen nchini Ujerumani. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 18 na Leroy Sane dakika ya 85, wakati ya Schalke 04 yalifungwa na Nabil Bentaleb yote kwa penalti dakika za 38 na 45 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YASHINDA 3-2 UJERUMANI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top