• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 23, 2019

  AZAM FC NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji Mnyarwanda wa Simba SC, Meddie Kagere akimtoka beki Mghana wa Simba SC, Yakubu Mohammed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 3-1  
  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akimtoka beki Mganda mwenzake, wa Azam FC, Nico Wadada 
  Beki Mburkinabe wa Simba SC, Zana Coulibaly (kushoto) akitafuta namna ya kumpita beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa
  Kiungo Mzambia wa Azam FC, Clatous Chama (kushoto) akimlamba chenga beki Mghana wa Azam FC, Yakubu Mohammed 
  Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana dhidi ya Simba SC
  Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana dhidi ya Azam FC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top