• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 14, 2019

  TOTTENHAM HOTSPUR YAISHINDILIA BORUSSIA DORTMUND 3-0 WEMBLEY

  Mshambuliaji Mkorea, Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kwanza dakika ya 47 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Jan Vertonghen dakika ya 83 na Fernando Llorente dakika ya 86 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TOTTENHAM HOTSPUR YAISHINDILIA BORUSSIA DORTMUND 3-0 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top