• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 22, 2019

  ARSENAL YAICHAPA BATE 3-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE

  Sokratis Papastathopoulos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 60 ikiilaza BATE Borisov 3-0 Uwanja wa Emirates mjini London usiku wa jana katika mchezo wa hatua ya 32 Bora UEFA Europa League. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Zakhar Volkov aliyejifunga dakika ya nne na Shkodran Mustafi dakika ya 39 na kwa matokeo hayo, Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza nchini Belarus 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA BATE 3-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top