Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kulazimishwa sare ya 0-0 na wenyeji, Athletic Bilbao usiku wa jana Uwanja wa San Mames Barria mjini Bilbao kwenye mchezo wa La Liga. Pamoja na sare hiyo, Barcelona inafikisha pointi 51 katika mechi ya 23 na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi sita zaidi ya Real Madrid wanaofuatia katika nafasi ya pili mbele ya Atletico Madrid wenye pointi 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment