• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 28, 2019

  CHELSEA YAONYESHA BADO IMARA, YAICHAPA SPURS 2-0 DARAJANI

  Pedro akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 57 kabla ya Kieran Trippier kujifunga dakika ya 84 kuwapa ushindi wa 2-0 The Blues dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London na kwa ushindi huo kikosi cha Maurizio Sarri kinafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 27 kikiendelea kushika nafasi ya sita 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAONYESHA BADO IMARA, YAICHAPA SPURS 2-0 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top