• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 25, 2019

  MAN CITY WAIPIGA CHELSEA KWA MATUTA NA KUBEBA KOMBE LA LIGI

  Wachezaji wa Manchester City wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika ya 120 katika fainali nzuri iliyofanyika Uwanja wa Wembley usiku wa jana. Waliofunga penalti za Manchester City ni İlkay Gundogan, Sergio Aguero, Bernardo Silva na Raheem Sterling, wakati Leroy Sane pekee alikosa huku za Chelsea zikifungwa na Azpilicueta, Emerson na Edin Hazard huku Jorginho na David Luiz wakikosa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WAIPIGA CHELSEA KWA MATUTA NA KUBEBA KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top