• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 17, 2019

  SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Beki wa Yanga SC, Zana Coulibally akimtoka beki wa Gardiel Michael katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0. 
  Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga, Feisal Salum na Amissi Tambwe  
  Wachezaji wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) na Juuko Murshid (kulia) wakipambana na Amissi Tambwe wa Yanga (katikati) 
  Kiungo wa Simba SC, James Kotei (kushoto) akitoa pasi pembeni ya kiungo wa Yanga, Feisal Salum (kulia)  
  Paulo Godfrey wa Yanga akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Mohammed Hussein 'Tshabalala'
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa 
  Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
  Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top