Cesc Fabregas na wachezaji wenzake wa Chelsea wakiwa hoi baada ya kufungwa bao la tatu, wakichapwa 3-0 na AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Bournemouth yamefungwa na Callum Wilson dakika ya 51, Junior Stanislas dakika ya 64 na Nathan Ake dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment