Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Dk. Joel Nkaya Bendera leo nyumbani kwake, Sinza Mori mjini Dar es Salaam kulipeleka kwenye gari tayari kwa safari ya Korogwe kwa mazishi kesho
Bendera alifariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mjini Dar es Salaam
Waombolezaji mbalimbali wakishuhudia shughuli za kuuga mwili wa marehemu leo
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenfa akisaini kitabu cha kumbukumbu msibani. Tenga alikuwa mchezaji wa kocha Bendera kwenye kikosi cha Taifa Stars mwaka 1980 kwenye Fainali za kombe la Mataifa ya Afrika nchini Nigeria
Photo: Bam Adebayo, A'ja Wilson Spotted Days After Mayor's Tease amid
Dating Rumors
-
Being seen together in public isn't exactly going to do much to dispel the
dating rumors surrounding Las Vegas aces star A'ja Wilson and Miami Heat
big man…
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment