Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akienda hewani kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiilaza 3-2 Deportivo la Coruna usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Alvaro Morato dakika ya 50 na Mariano Diaz dakika ya 84, wakati ya wageni yalifungwa na Jose Luis 'Joselu' yote dakika za 63 na 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment