Mchezaji aliyetokea benchi kipindi cha pili, Timothy Fosu-Mensah akiwa amemdandia mfungaji wa bao lao la pili dakika ya 88, Zlatan Ibrahimovic katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Kundi A Europa League usiku huu Uwanja wa Chornomorets Odesa. Bao lingine la Man United ya kocha Mreno Jose Mourinho lilifungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment