Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy akimpiga chenga kipa wa Manchester City, Claudio Bravo kukamilisha hat trick yake katika ushindi wa 4-2 usiku wa jana Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Vardy alifunga mabao yake dakika za tatu, 20 na 78, wakati bao lingine la Leicester lilifungwa na Andy King dakika ya tano, huku ya Man City yakifungwa na Aleksandar Kolarov dakika ya 82 na Nolito dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment