AZAM FC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI
Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa African Sports katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara njana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Azam FC ilishinda 2-1
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka mchezaji wa African Sports jana Mkwakwani
Kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akimtoka mchezaji wa African Sports
Mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga akimtoka beki wa African Sports jana
Makocha wapya wa Azam FC kutoka Hispania, Jonas Garcia Luis (wa pili kushoto) na Zebensul Hernandez Rodrguez (wa pili kulia) wakiwa na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Saad Kawemba (kulia) na Katibu Mkuu, Nassor Idrissa (kushoto) jana Uwanja wa Mkwakwani
Makocha wanaomalizia muda wao, Muingereza Stewart John Hall (kulia) na Wasaidizi wake
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment