Wachezaji wa Azam FC wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa O Tambo mjini Johannesburg Afrika Kusini mchana wa leo tayari kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Bidvest Wits Jumamosi
Manahodha John Bocco kulia na Msaidizi wake, Himid mao kushoto wakiwa wenye furaha baada ya kuwasili
Manahodha John Bocco kulia na Msaidizi wake, Himid mao kushoto wakiwa wenye furaha baada ya kuwasili
Kiungo Ramadhani Singano 'Messi' kushoto na kocha wa makipa, Iddi Abubakar kulia |
Wakiwa ndani ya ndege kulia ni beki Serge Wawa na kushoto mshambuliaji Allan Wanga |
Mabeki David Mwantika kulia na Erasto Nyoni kushoto |
0 comments:
Post a Comment